KUPATANA NA SLAYQUEEN KWA GARI 🥰🥰

*KUPATANA NA SLAYQUEEN KWA GARI* Kama kuna challenge kubwa kwa mwanaume ni kukatia dem wamepatana first day na tena ikue kwa gari.. Najua unaona ikikaa rahisi lakini just imagin umeogeresha dem kwa gari akulenge, ushikwe na iyo aibu yote alafu kuharibia makanga akam akushow muungane na uyo dem ndio awapatie change..najua wengi ni wenye wataachia dem ile dooh, lakini ikiwa ni mimi.. Pesa yangu ni yangu madam😅😅sasa wacha niwachapie vile nilifanya mambo pale mombasa road... Ilikua sunday fulani nilikua natoka tao mashughuli zangu,nilikua natembea nikiwa jabaration pale Niko na majugu, na mabig G zangu,inshort zangu zilikua zimenyce mbaaya.. . nikaenda pale stage ya embassava, kulikua kumejaa watu kama crusade hadi hungeona mbele... si mnajua mie nakuaga ule pedi wa mapedi, lakini pale nilipata kompe ni kompee roho safi, mie nikifanya drug trafficking tao kulikua na traffic congestion.. jaba iliniishia nikamua katashikia mbele mie nikadandia ma3...kufika kwa gari, ilikua imebaki msee mmoja ijae, si mimi nikaingia kujaza,kiti ilikua imebaki, kado yake palikua pamekaa wale mnaitaga maslayqueen wa Nairobi nilimuangalia kutoka chini kwenda juu..msichana alikua ameapply make up kilo saba kwa uso,alikua na rangi ingine hata thao haifiki bei, macho ilikua na zile nywele za kuongezea, maskio imejaa vipini, akizitoa unaeza tumia maskio yake kama kichungi, mapua alikua amedunga machuma..ungedhani ako na metallic nose😅Aki si alikua na mashimo, na mdomo alikua na lipstic inakaa hii imoji 💋.. Nywele ilikua ile inaletagwo na ndege.. Alikua amevalia zile top za mimea, kwa kiswahili inaitwa Crop top,tumbo ilikua nnje, alikua na mukonyo inakaa kitu ya kukulwa,marashi nayooo.. Nakuambia ile harufu ukinusia tu hivi, ilikua inaingilia kwa mapua inaeda kwa amniotic fluid inatoka ikiwa laughing gas, ukumwona ni ku smile tu... nilimwangalia hivi hadi nikasema huyu haedagi choo kwanza hata sio wa kenya... Alikua inamaliza wanaume kama konyangi😄...chini alikua amevalia toja tight ya black na kiatu ya balenshiaga... Inshort huyo dem alikua ameua luku.. Kusema ukweli mimi nilikua nimevalia T-shirt ya safaricom,hapa mbele imeandikwa bonga points,kofia ilikua mpya yenye imeandikwa Ng'ombe, trouser buggy ya material na slippers,kwangu make up ilikua ni ile vumbi ilikua imenichapa kwa mguu..sasa mimi badala ya kuua luku nilikua nimejaribu kufufua luku😅huyu dem alikua ananiangalia as if nakaa mwenda wazimu,alikua ameshika simu akichat huku earphones ziko kwa maskio...mimi nilikua nimeshika kale katululu kangu nikicheza ile game ya kanyoka...Kwa constitution ya mafisi limited industry ukisoma section ya pili kutoka katikati ukirundi nyuma article seven inasema "UKIKAA KARIBU NA YEYE KWA GARI CHUKUA NABA"..nilikua nimekaa kado ya huyu dem, vile gari ilianza safari, nikaamua nifuate rules zetu..nilianza na salamu,atleast ndio tukiskizana sasa naba inakam thruu.. hapo ndio nilinyongwa na kiwaru, dem,after kumsalimia, aliniangalia kutoka uso hadi katikati ya vidole za mguu, aka node kichwa ile design ya kusema no, alininyamazia akiniangalia na jicho ya side ways, hadi nikadhani nikama hajui kiswahili..mimi sikuskia vibaya juu ata akininyamzia tumekaa pamoja..ilibidi nimejipea shughuli, nikaanza kusoma phonebook yangu, mara na revise messages pale inbox, mara kucheza kale ka game kangu lakini kuna kitu unafaa kujua hapa... kwa motivation quotes za Mafisi limited kuna moja inasema "USIWAI OGOPA AIBU",...mie ni nani..? Vile niliona hataki stori zangu nilimshow afungue dirisha kuna joto... Hiyo sasa ikakua ni bluetick,direct..niliamua kumtusi😅😅kupinduka hivi nimuangushiee mchongoano moja, niliona ile mukonyo yake nguvu ya matusi ikapigwa na wivu ikaisha.. Nilitamani tu ningekua na earphones,atleast niache kuskia vibaya..nilitamani ningekua na besty yangu atleast anipee psych lakini wapi niliamua kujiamini nikiwa solo, though nilikua naomba tu nishuke gari niondokee huyu dem.. . Hapa sasa nikajua hakuna namna lakini one thing yenye sijai kumbali in life is Giving up...niliamua kujieke promise moja ya kumfanya acooperate ata akininyamazia mara mia tano.. ...Kumbuka tuko mombasa road, before tufike nyayo, kajam ikashika...(nitumieni fare kwanza nimlipie....ama fanya hivi,follow me nikupatie part 2)..... *KUPATANA NA SLAYQUEEN KWA GARI Part 2* ....Nikajua hii gari sishuki haraka so Nikaamua kutumia hii jam kama opportunity..ndio nikakumbuka nilikua nimekula chapo choma ya mandodo na ovakado Niliamua kua apply what i had in stomach so nikaharibu hewa, nikiwa nimeapply silencer with a hissing sound,juu ingetoka na pop sound kuna vile ningechoma rada.. Advantage ya kuachilia hii gas kwa gari ni mtu haezi jua mwenyewe juu mko wengi😄Wacha kanuke mtu wangu😅,kwanza mimi ndio nilikua wa kwanza kufunika mapua(mwenye mafi hujishuku😅),dem alifungua kioo ya gari kama hajaabiwa,.. Vile alipinduka afungue kioo nikajigongesha kwake simu yangu ikaanguka.kila kitu ikaenda kado,betry,line,memory hadi ringtones...Nikamshow.. "madam iyo simu ikiguzwa kidogo nachukua hii yako,wacha venye unaniangalia hivo" Aliinama haraka akiwa zile za "am sorry "..akiwa ameinama anichukulie simu, kamnuko kalikua kameisha, sasa hapa ikakua ni ku apply what i have to get what I want, so ile big G ya jaba si ikapata kazi, mimi ni naniiii... nikamweka big-G kwa kiti, vile alienda kukaa nikagoja aikalie kwanza alafu nikamshow amekalia big G, akijaribu kuitoa, nikaamua kumsaidia, ilikua imeshika rasa so kuitoa lazika ningemshika haga tu😄, ile rasa nilicheza nayo kama mpira ya rugby nikitoa big G,kwanza nilikua natoa nikibandika tena atleast nikaekae nikitoa,ilifika mahali akanishow thanks,niachane nayo tu... Kwa ile harakati ya kutoa big G, nilimkanyaga kiatu.. Ile barenshiaga yake, akainama chini kupaguza juu niliikanyaga na ile mguu iko na make up fulani😅,akiwa ameinama na mie nikamshow kwa maskio in whispers .."pandisha trouser suruari inatokea,umevalia ya black..", si akafuata instructions,without talking na hapo ndio nilianza story..nikafunganisha simu yangu alafu nkamuliza ni saa ngapi ndio niset ..nakwambia hapa sasa alikua ananiongeresha nikama tunajuana kutoka kitambo..kwa constitution yetu article ya chapter yenye iko hapo inasema "START BY APPRECIATING HER"...nikaanza Me:madam unakaa smart,, nimependa iyo luku,uyo designer wako mwambie a maintain Madam:Thanks, Me:si ata tupige selfie na simu yako Madam:you are funny,Just selfie tu.. (akatoa simu tukapiga picha alafu simu ikazima) Hapo ndio sasa nilijifanya mjinga na nikachukulia naba... Me:madam,sasa nikitaka izo picha naeza zipata aje, Madam:kama uko na whatsup naeza kutumia... Maraa iyoo, nikampea naba.. Constitution yetu inasema TAKE HER NUMBER TOO si unajua kuna wale, unawapeaga naba wanajiekea... Nikachukua naba yake pia"incase usahau, nipee naba yako pia nitakukumbusha"..kutoka hapo jam ikapungua na gari ikashika lamii...usiniulize jina ya huyu dem juu kwa rules zetu inasema, NAMES COMES LAST... nikamuliza anashukia wapi, akanishow anaenda hadi pipeline, mie nilikua naeda GM lakini nikifuatilia kanuni za katiba yetu inasema WHERE SHE IS GOING IS YOUR DESTINATION.. So mie nilimshow naeda pipeline pia.. Nikamshow.."si ata tutapita hivo ukijua kwangu.. "..akakumbali, shinda ni moja, mie sikaagi pipeline na hata sijui ni wapi kunaitwa hivo 😅so hapa ni kucheza na akili sasa, gari ikafika GM nikakosa kushuka... Ndio sisi haaoooo pipeline pale raoda.. Dem akadai tushuke,alafu akaniuliza Dem:kwako ni side gani tupitie me :wah, ni nahuku ndani kabisa wacha tuanze na kwako tu, juu staki uchoke sana.. Na pia ndio u change nguo juu ya iyo big G iko hapo kwa toja Dem:sawa twede tu who is laughing now 😅😅tulienda hadi kwake.. Ilikua around 6pm, alikua anaishi single room mie nikaingia na vumbi yangu akanishow hakuna shinda..alienda direct kueka simu kwa moto alafu akaamua ku change manguo...sahio nyumba haina curtains ..kwanza alitoa nguo zote alafu akakalia bed, nilikua naona kila kitu lakini kwa rules zetu kuna ingine husema AKIKUTOLEA NGUO-OGOPA.. nikigoja dem avalie nguo zingine niliskia ameniuliza Uko na ngapi boss? Kumbe huyu alikua member wa Koinange na kwa mafisi tunasemaga NEVER PAY FOR IT, EAT IT AND LEAVE IT FOR ONOTHER ... hapa niliamua kucheza kaa mimi...nikamshow namjenga 1k lakini ziko kwa simu...juu ya tamaa tukaanguka kwa uwanja, viatu hazikua noma juu huyu dem alikua nazo.. Nikafunga bao ya kwanza, nikidai kupumzika ata ni celebrate akanishow apana, anataka nifunge ingine na ingine na ingine... Msee nakuambia pale nilifanyishwa hadi nikatulia... Sasa the next thing ilikua kulipia service... Kale katululu kangu kalizima nikamshow mimi:hii simu imezima, nipee yako nieke line nikutumie her:mie nataka cash, shika ueke alafu Withdraw Mimi:game yako iko fiti, itakuaje nikiogeza dooh, nidoz huku hadi asubuhi.... Akadai nisawa usiku yote thao tano, akaingia bafu na mimi nikaenda mpesa hapo chini ya ploti yao nikajua sasa nitalala ndani.. Nakuambia nililala ndani ya nyumba yangu GM nikiwa na ile simu yake ikiwa na line yangu, nikaamua nimuachie katululu..na nikabadirisha naba.. Mie ata sijui jina yake na hivo ndio mafisi industry hukua, Mungu hawezi kupea kitu bure na utuuzie..the rule is WE DONT PAY, WE GET PAID juu sisi huwafanyia favour ......

Post a Comment

Previous Post Next Post